Wednesday, May 11, 2011

Matukio Mbalimbali

Bwana na Bibi Edward Mwankenja wakiwa na furaha baada ya kufunga pingu za maisha katika kanisa la  KKKT liliko Kawe, jumapili, 8/04/2011. Edward ni mwalimu katika shule ya Hekima Waldorf, na mkewe Bi Loveness ni mjasiriamali.


Maandalizi ya kuogelea, katika pwani ya Kawe hivi karibuni


Wavuvi kazini, katika pwani ya Dar es Salaam

Wavuvi wa uduvi wakijitahidi kukamata uduvi asubuhi, kwenye fukwe za bahari ya Hindi jijini Dar es Salaam

Ndege wamependeza katika visiwa vya Mbudja, ndege hawa kwa kiingereza hujulikana kama Seagul


No comments:

Post a Comment