Wednesday, May 11, 2011

Mazingira

Kijana ambaye jina lake halikuweza kupatikana akishangaa msururu wa wapanda baskeli huku akifaulisha oili chafu katika madumu kama anavyoonekana katika barabara ya Kawawa, Magomeni hivi karibuni. Pamoja na uchafuzi wa mazingira kwa kumwaga oili hiyo pia inaonyesha ndio ajira mbadala kwa baadhi ya vijana.


No comments:

Post a Comment