Monday, March 21, 2011

Wclif Jean apigwa risasi

Wyclef Jean na machozi baada ya ujumbe wake kwa Haiti. Akimwagika machozi mbele ya waandishi wa habari huku akijaribu kutafuta njia ya msaada wa Haiti, New York tarehe 18/01/10

MSANII maarufu duniani, Wyclef Jean, imeripotiwa kuwa, alipigwa risasi nchini kwao, Haiti.

Mwimbaji huyo ambaye ni mwanachama wa zamani wa Fugees, alikuwa nchini kwao kwa ajili ya kumsaidia mgombea urais wa nchi hiyo Michael Martelly, wakati wa kampenzi za mwisho zinazomalizikia nchini humo.

  Wakati wa maandalizi ya Martelly kwa raundi ya mwisho ya uchaguzi dhidi ya zamani Kwanza Lady Mirlande Manigat, kwa mujibu wa tovuti ya Spinner.

Msanii huyo alikuwa kwenye gari aliloku akiendesha katika mitaa ya mji mkuu wa nchi hiyo, Port-au-Prince na kushambuliwa kwa risasi.

Wyclef Jean alikuwa na wasanii wenzake Busta Rhymes, mtendaji wa kampuni ya kurekodi, Jimmy Rosemond.

Msanii huyo alikwenda Haiti kushiriki tamasha la kusaidia jitihada za Martelly kuingia ikulu ya Haiti.

Å…Kama ningekuwa Rais: Uzoefu wangu wa Haiti, mkono wa kulia ulikuwa umejeruhiwa kwa risasi, lakini hakuna mwingine aliyejeruhiwa."

Shuruba hizo zilitokea saa 11 jioni mjini Port-au-Prince, msemaje wake alisema jana kuwa, Å…anaendelea vizuri," alisema Cindy Tanenbaum.

Mwimbaji huyo alilazwa kwenye kitanda hospitalini, mkono wake wa kulia ukiwa na bandeji  huku wa kushoto ukiwa usoni.


No comments:

Post a Comment