Tuesday, March 22, 2011

Simanzi, Five Stars yakumbwa na Msimba

Kama linavyoonekana gazeti la leo la Dar Leo na habari ya Msiba wa wanamuziki 13 wa bendi ya Five Star Taarab uliosababishwa na ajali ya gari jana usiku katika barabara ya Mikumi.


No comments:

Post a Comment