Wednesday, March 23, 2011

Miss Utalii watembela DAR LEO

Mkurugenzi wa Miss Tourism, Gideon 'Chips' Chipungahelo akiwaonyesha warembo wa Miss Tourism jinsi mwanamuziki maarufu Kijoti anavyowarusha roho mashabiki ambaye amefariki katika ajali ya gari na wenzie 12 katika gazeti la Dar Leo


No comments:

Post a Comment