Ratiba rasmi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2016/2017, imetoka. Ratiba hiyo imezingatia michuano mbalimbali ya kitaifa na kimataifa kwa ngazi ya klabu na timu za taifa ili kukwepa dhana yoyote ya upangaji wa matokeo na kurundikana kwa michezo. Hii ni ratiba rasmi ukiachana na ile ambayo ilisambaa kwenye mitandao ya kijamii.
No comments:
Post a Comment