Wednesday, June 22, 2016

UZIBUAJI WA MITARO UKIENDELEA JIJINI MWANZA

Uzibuaji wa Mitaro ukiendelea katika Mitaa mbalimbali ya Katikati ya Jiji la Mwanza. BMG inatoa pongezi za dhati kwa Uongozi wa halmashauri ya Jiji la Mwanza kwa zoezi hili maana lisipofanyika kwa muda mrefu, mitaro hii huziba, mvua inaponyesha huwa Mitaa ya Jiji haitamaniki tena na inapoteza hadhi ya Jiji la Mwanza.

No comments:

Post a Comment