Baadhi ya Wakurugenzi na watendaji wengine wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) wakiwa katika hafla hiyo.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Saidi Mecky Sadicky akitoa neno la shkurani kwa niaba ya wakuu wengine wa mikoa kwa msaada huo wa pesa kwa ajili ya Madawati ,kiasi cha Sh Bilioni moja kilichotolewa na Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA)
Baadhi ya wakuu wa mikoa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh Samia Hassan Suluhu akikabidhi Hundi kwa Mkuu wa mkoa wa Tanga ,Martin Shigela ikiwa ni mchango wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa ajili ya ununuzi wa Madawati katika shule zilizopo katika wilaya zinazipakana na Hifadhi za Taifa. Wengine kulia mwa Makamu wa Rais ni Waziri wa Maliasili na Utalii,Profesa Jumanne Maghembe na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa nchini Allan Kijazi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh Samia Hassan Suluhu akikabidhi Hundi kwa Mkuu wa mkoa wa Katavi ,Meja Jenerali Mstaafu ,Raphael Muhuga ikiwa ni mchango wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa ajili ya ununuzi wa Madawati katika shule zilizopo katika wilaya zinazipakana na Hifadhi za Taifa. Wengine kulia mwa Makamu wa Rais ni Waziri wa Maliasili na Utalii,Profesa Jumanne Maghembe na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa nchini Allan Kijazi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh Samia Hassan Suluhu akikabidhi Hundi kwa Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Said Mecky Sadicky ikiwa ni mchango wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa ajili ya ununuzi wa Madawati katika shule zilizopo katika wilaya zinazipakana na Hifadhi za Taifa. Wengine kulia mwa Makamu wa Rais ni Waziri wa Maliasili na Utalii,Profesa Jumanne Maghembe na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa nchini Allan Kijazi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh Samia Hassan Suluhu akikabidhi Hundi kwa Mkuu wa wilaya ya Mvomero ,Betty Mkwasa kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro ikiwa ni mchango wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa ajili ya ununuzi wa Madawati katika shule zilizopo katika wilaya zinazipakana na Hifadhi za Taifa. Wengine kulia mwa Makamu wa Rais ni Waziri wa Maliasili na Utalii,Profesa Jumanne Maghembe na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa nchini Allan Kijazi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh Samia Hassan Suluhu akikabidhi Hundi kwa Mkuu wa wilaya ya Tarime,Glorious Luoga kwa niaba ya Mkuu wa mkoa wa Mara ikiwa ni mchango wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa ajili ya ununuzi wa Madawati katika shule zilizopo katika wilaya zinazipakana na Hifadhi za Taifa. Wengine kulia mwa Makamu wa Rais ni Waziri wa Maliasili na Utalii,Profesa Jumanne Maghembe na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa nchini Allan Kijazi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh Samia Hassan Suluhu akikabidhi Hundi kwa Mkuu wa mkoa wa Simiyu Anthony Mtaka ikiwa ni mchango wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa ajili ya ununuzi wa Madawati katika shule zilizopo katika wilaya zinazipakana na Hifadhi za Taifa. Wengine kulia mwa Makamu wa Rais ni Waziri wa Maliasili na Utalii,Profesa Jumanne Maghembe na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa nchini Allan Kijazi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh Samia Hassan Suluhu akikabidhi Hundi kwa Mkuu wa mkoa wa Rukwa ,Kamishna wa Polisi Mstaafu,Zelothe Stephen ikiwa ni mchango wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa ajili ya ununuzi wa Madawati katika shule zilizopo katika wilaya zinazipakana na Hifadhi za Taifa. Wengine kulia mwa Makamu wa Rais ni Waziri wa Maliasili na Utalii,Profesa Jumanne Maghembe na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa nchini Allan Kijazi.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
No comments:
Post a Comment