Sunday, April 24, 2016

CHAMA CHA WAWEKEZAJI BINAFSI KATIKA SEKTA YA ELIMU CHAZINDULIWA

Mwenyekiti wa Chama cha Wawekezaji Binafsi katika Sekta ya Elimu Tanzania (TAPIE) ambaye pia ni Mmilikiwa Shule ya Tusiime Bw. Albert Katagira akizungumza wakati wa uzinduzi na mkutano wa kwanza wa chama hicho jana jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu wa Chama hicho Bw.Kachwamba Ansar na wapili kulia ni Makamu Mwenyekiti Bw.Johson Ishengoma.
Mwanachama wa Chama cha Wawekezaji Binafsi katika Sekta ya Elimu (TAPIE) ambaye pia ni mmiliki wa Shule ya Awali na Msingi ya Fortune iliyopo Tabata Kinyerezi Bw.Hope Kaiza akichangia hoja wakati wa uzinduzi na mkutano wa kwanza wa chama hicho jana jijini Dar es Salaam

Mwanachama wa Chama cha Wawekezaji Binafsi katika Sekta ya Elimu (TAPIE) Bw. Mahamoud Mringo (aliyesimama) akifafanua jambo wakati wa uzinduzi na mkutano wa kwanza wa chama hicho jana jijini Dar es Salaam.Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Chama hicho Bw. Albert Katagira na Makamu Mwenyekiti wake Bw. Johnson Ishengoma.
Baadhi ya wanachama wa Chama cha Wawekezaji Binafsi katika Sekta ya Elimu (TAPIE) wakifuatilia mada wakati wa uzinduzi wa chama hicho jana jijini Dar es Salaam.


Picha na: Frank Shija,WHUSM


No comments:

Post a Comment