Tuesday, February 02, 2016

SPIKA WA BUNGE AKIWA NA WAGENI MBALIMBALI WALIOMTEMBELEA DODOMA(PICHA)



Spika wa Bunge Mhe.Job Ndugai akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile wakati walipomtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma leo 02 Februari 2016 kulia ni Katibu wa Jukwaa la Wahariri Neville Meena




Spika wa Bunge Mhe.Job Ndugai akimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile wakati walipomtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma leo 02 Februari 2016


Spika wa Bunge Mhe.Job Ndugai akimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile wakati walipomtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma leo 02 Februari 2016 wengine katika picha ni viongozi wa Jukwaa la Wahariri na kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Habari,Elimu na Mawasiliano wa Bunge Owen Mwandumbya.


Spika wa Bunge Mhe.Job Ndugai akizungumze na ujumbe wa Wabunge 13 toka Bunge la Ujerumani ambao ni wajumbe wa Kamati ya Bajeti. Wajumbe hao wapo nchini kufanya ukaguzi wa miradi iliyo chini ya ufadhili wa German Armed Forces Adivosory Group to Tanzania(GATFTAG) wa kwanza kulia kwa Spika ni Balozi wa Ujerumani Nchini Egon Kochanke na nayefatia ni Mkuu wa Msafara huo Bi Doris Barnet kutoka Social Democratic Party (SPD)


Spika wa Bunge Mhe.Job Ndugai akisalimiana na Balozi wa Ujerumani Nchini Egon Kochanke mara baada ya kikao


Spika wa Bunge Mhe.Job Ndugai akiagana na Viongozi wa Jukwaa la Wahariri wakati waliomtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma leo 02 Februari 2016


Spika wa Bunge Mhe.Job Ndugai akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga alipomtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma leo 02 Februari 2016 mara baada ya kuapishwa.




Spika wa Bunge Mhe.Job Ndugai akimsikiliza Katibu wa Jukwaa la Wahariri Neville Meena wakati walipomtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma leo 02 Februari 2016 kushoto kwa Spika ni Makamu Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile na anayefatia ni Mjumbe wa Bodi ya Jukwaa la Wahariri Jesse Kwayu.











Spika wa Bunge Mhe.Job Ndugai akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga alipomtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma leo 02 Februari 2016 mara baada ya kuapishwa.

( Picha na Ofisi ya Bunge)






No comments:

Post a Comment