Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiweka saini katika kitabu
cha wageni mara baada ya kuwasili katika Kituo cha Makazi ya Wazee na Watu
Walemavu cha Nunge, Kigamboni, jijini Dar es salaam alikotembelea na
kusikiliza mahitaji yao pamoja na kutoa msaada wa mchele kilo 3000, Unga kilo
3000 na Maharage Kilo 1200 ikiwa msaada wake kwa wazee na walemavu hao.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisikiliza taarifa kutoka
kwa Bw. Ojuku Mgedzi, Mkuu wa Kituo cha Makazi ya Wazee na Watu Walemavu
cha Nunge, Kigamboni, jijini Dar es salaam alikotembelea na kusikiliza
mahitaji yao pamoja na kutoa msaada wa mchele kilo 3000, Unga kilo 3000 na
Maharage Kilo 1200 ikiwa msaada wake kwa wazee na walemavu hao.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akipokea taarifa kutoka kwa
Bw. Ojuku Mgedzi, Mkuu wa Kituo cha Makazi ya Wazee na Watu Walemavu cha
Nunge, Kigamboni, jijini Dar es salaam alikotembelea na kusikiliza
mahitaji yao pamoja na kutoa msaada wa mchele kilo 3000, Unga kilo 3000 na
Maharage Kilo 1200 ikiwa msaada wake kwa wazee na walemavu hao.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akikabidhiwa taarifa
Bw. Ojuku Mgedzi, Mkuu wa Kituo cha Makazi ya Wazee na Watu Walemavu cha
Nunge,
Kigamboni, jijini Dar es salaam alikotembelea na kusikiliza
mahitaji yao pamoja na kutoa msaada wa mchele kilo 3000, Unga kilo 3000 na
Maharage Kilo 1200 ikiwa msaada wake kwa wazee na walemavu hao.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akioneshwa maeneo mbalimbali na Bw. Ojuku Mgedzi, Mkuu wa Kituo cha Makazi ya Wazee na Watu Walemavu cha Nunge, Kigamboni, jijini Dar es salaam alikotembelea na kusikiliza mahitaji yao pamoja na kutoa msaada wa mchele kilo 3000, Unga kilo 3000 na Maharage Kilo 1200 ikiwa msaada wake kwa wazee na walemavu hao.
JUU NA CHINI: Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisalimiana na wagonjwa waliofika kupata huduma katika zahanati ya Kituo cha Makazi ya Wazee na Watu Walemavu cha Nunge, Kigamboni, jijini Dar es salaam alikotembelea na kusikiliza mahitaji yao pamoja na kutoa msaada wa mchele kilo 3000, Unga kilo 3000 na Maharage Kilo 1200 ikiwa msaada wake kwa wazee na walemavu hao.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akitembelea chumba cha
kujifungulia cha zahanati ya Kituo cha Makazi ya Wazee na Watu Walemavu
cha Nunge, Kigamboni, jijini Dar es salaam alikotembelea na kusikiliza
mahitaji yao pamoja na kutoa msaada wa mchele kilo 3000, Unga kilo 3000 na
Maharage Kilo 1200 ikiwa msaada wake kwa wazee na walemavu hao.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisalimiana kwa furaha na
wakaazi wa Kituo cha Makazi ya Wazee na Watu Walemavu cha Nunge, Kigambo ni, jijini Dar es salaam alikotembelea na kusikiliza
mahitaji yao pamoja na kutoa msaada wa mchele kilo 3000, Unga kilo 3000 na
Maharage Kilo 1200 ikiwa msaada wake kwa wazee na walemavu hao.
Mkuu wa wilaya ya Temeke Mhe Sophia Mjema akimkaribisha Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli kuhutubia wakaazi wa Kituo cha Makazi ya
Wazee na Watu Walemavu cha Nunge, Kigambo ni, jijini Dar es salaam alikotembelea na kusikiliza
mahitaji yao pamoja na kutoa msaada wa mchele kilo 3000, Unga kilo 3000 na
Maharage Kilo 1200 ikiwa msaada wake kwa wazee na walemavu hao.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akihutubia wakaazi wa
Kituo cha Makazi ya Wazee na Watu Walemavu cha Nunge, Kigambo ni, jijini Dar es salaam alikotembelea na kusikiliza
mahitaji yao pamoja na kutoa msaada wa mchele kilo 3000, Unga kilo 3000 na
Maharage Kilo 1200 ikiwa msaada wake kwa wazee na walemavu hao.
JUU NA CHINI: Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimkabidhi mchele, unga na maharage Mzee Anthony Kingongoti Mwenyekiti wa wakaazi wa Kituo cha Makazi ya Wazee na Watu Walemavu cha Nunge, Kigambo ni, jijini Dar es salaam alikotembelea na kusikiliza mahitaji yao pamoja na kutoa msaada wa mchele kilo 3000, Unga kilo 3000 na Maharage Kilo 1200 ikiwa msaada wake kwa wazee na walemavu hao.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akipokea shukurani kutoka
kwa Mzee Anthony Kingongoti Mwenyekiti wakaazi wa Kituo cha Makazi
ya Wazee na Watu Walemavu cha Nunge, Kigambo ni, jijini Dar es salaam alikotembelea
na kusikiliza mahitaji yao pamoja na kutoa msaada wa mchele kilo 3000, Unga
kilo 3000 na Maharage Kilo 1200 ikiwa msaada wake kwa wazee na walemavu hao.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimshukuru Mzee
Anthony Kingongoti Mwenyekiti wakaazi wa Kituo cha Makazi ya Wazee
na Watu Walemavu cha Nunge, Kigambo ni, jijini Dar es salaam alikotembelea na kusikiliza
mahitaji yao pamoja na kutoa msaada wa mchele kilo 3000, Unga kilo 3000 na
Maharage Kilo 1200 ikiwa msaada wake kwa wazee na walemavu hao.
No comments:
Post a Comment