Sunday, February 14, 2016

MUFTI MKUU WA TANZANIA ABUBAKARY ZUBEIRY BIN ALLY ARUHUSIWA TOKA HOSPITALINI












Mufti Mkuu wa Tanzania Abubakary Zubeiry bin Ally, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani ) na Baadhi ya viongozi wa dini ya Kikristo na ya Kiislamu wanaounda kamati ya Amani walipofika katika Hopisitali ya Taifa Muhimbili kumjulia baada ya kupata ruhusa kutoka katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCT) ambapo alianza kwa kumshukuru








Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli alimwagiza Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu afikishe salamu hizo na kwa Waziri Mkuu Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa na pamoja na wote waliofika kumjulia hali na mungu awaongoze na Rais awaangalie madaktari kwa jicho la tatu na awaongezee uwezo, hayo yalizungumzwa na mufti wakati waziri huyo alizipofika kwa niaba ya Serikali na kuahidi salamu hizo zitamfikia Rais Magufuli. mwisho mufti aliwashukuru waandishi wa habari kwa wao kufika mara kwa mara kumjulia hali 

(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)












Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCT) akimkaribisha Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu kwaniaba ya Serikali kwa kuzungumza na waandishi wa habari na viongozi wa kidini


Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima (katikati) akiwa na wenzake waliofika kumjulia hali Mufti


Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu (BAKWATA) Sheikh Suleiman Lolila akisoma maelezo kwa niamba ya familia ya Mufti






















No comments:

Post a Comment