Mwenyekiti wa Bunge Mhe.Andrew Chenge pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi Utumishi na utawala Bora Mhe.Angellina Kairuki wakiwasili katika viwanja vua Bunge kwa ajili ya kushiriki kikao cha 7 cha Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Bunge Mhe.Andrew Chenge akiwasili katika ukumbi wa Bunge tayari kwa kuongoza kikao cha 7 cha Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Bunge Mhe.Andrew Chenge akiongoza sala kwa ajili ya Bunge na Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kikao cha 7 cha Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Bunge Mhe.Andrew Chenge akiongoza kikao cha 7 cha Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge Kazi, Vijana na Ajira Mhe Anthony Mavunde akijibu hoja toka kwa Wabunge mbalimbali katika kikao cha 7 cha Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma
Waziri wa Nchi Ofisi Utumishi na utawala Bora Mhe.Angellina Kairuki akijibu hoja toka kwa Wabunge mbalimbali katika kikao cha 7 cha Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga taifa Mhe dkt Hussein Mwinyi akiteta jambo na Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe William Lukuvi katika kikao cha 7 cha Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma
Waziri wa Ujenzi,uchukuzi na Mawasiliano Mhe.prof Makame Mbalawa akijibu hoja toka kwa Wabunge mbalimbali katika kikao cha 7 cha Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe.George Masaju akijibu hoja toka kwa Wabunge mbalimbali katika kikao cha 7 cha Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma
Picha na Raymond Mushumbusi MAELEZO
No comments:
Post a Comment