BOFYA CHINI KUSIKILIZA Kauli ya Waziri wa Harabi, Utamaduni, Sanaa na Michezo, (Mb) Nape Nnauye wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Jukwaa, unaoendelea Morogoro katika Hoteli ya Nashera leo tarehe 28/01/2016. Mkutano huo unaendelea kwa siku tatu ambapo kati ya mambo yatakayofanyika ni pamoja na Uchaguzi Mkuu wa kuchagua viongozi wapya wa Jukwaa.
No comments:
Post a Comment