Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mama Maria Nyerere, Mjane wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere huku wanafamilia wakiangalia, nyumbani kwake, Msasani, jijini Dar es Salaam alipokwenda nyumbani kwake kumfariji katokana na kifo cha mkwe wake, Marehemu Leticia Nyerere, kilichotokea huko Maryland nchini Marekani, usiku wa kuamkia leo.
No comments:
Post a Comment