Wednesday, September 09, 2015

KAMPENI: SAMIA SULUHU AKIWA MBINGA

Mgombea mwenza wa nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu (katikati) akimnadi mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbinga Vijijini,Martin Mtonda (kushoto) na mgombea udiwani wa CCM.

















No comments:

Post a Comment