Nahodha wa timu ya wasichana ya Kinondoni, Sylvia Mwacha
(kushoto), akikabidhiwa kombe na Meneja wa Airtel kanda ya Dar es Salaam, Bw. Fredrick
Mwakitwange (kulia), baada ya kutwaa ubingwa wa U-17 Airtel Rising Stars mkoa
wa Dar es Salaam upande wa wasichana jana.
CHINI: Nahodha wa timu ya Wavulana ya Ilala, Abdul Hassan (kushoto), akikabidhiwa
kombe na Meneja wa Airtel kanda ya Dar es Salaam Bw. Fredrick Mwakitwange
(kulia), baada ya kutwaa ubingwa wa U-17 Airtel Rising Stars mkoa wa Da es
Salaam upande wa wavualana jana.
No comments:
Post a Comment