Sunday, June 08, 2014

MSHINDI WA MISS MBAGALA APATIKANA


Mshindi wa wa kwanza wa mashindano ya Miss Mbagala Amina Salum (kushoto) akipokea zawadi ya seti ya dekoda ya Dstv kutoka kwa Meneja wa mashindao hayo Gervas Sinsakala, mashindano hayo yalifanyika kwenye Ukumbi wa Dar Live mwishoni mwa wiki

No comments:

Post a Comment