Flavian Matata(kushoto) akiwa na Russel Simons(mwanaume), katika usiku wa kuwapongeza Simons na Kimora kwa mchango wao uliosababisha kuleta mabadiliko ya watu wengi maishani.
Chini: Flavian Matata katikati akiwa na bunifu maarufu duniani, DKNY (Dona Karan, New York-Kushoto) na mpiga picha wa fashion RussellJames, mtu aliyefanya naye kazi kwa mara ya kwanza nchini Marekani - Hongera sana Flavian
Juu Flavian akiwa na Kimora mke wa Russel Simons (Katikati), chini Ni Russel Simons akiwa na mkewe Kimora baada ya kupokea zawadi
No comments:
Post a Comment