Mtu asityejulikana ameiba simu ya Mbunge (CCM), John Komba
kisha kuanza kusambaza meseji pamoja na picha(KUSHOTO NI MOJA) za Mbunge huyo katika mitandao ya
kijamii.
Hilo laweza kuwa sio tatizo sana, shida ni kwamba picha
zinaozunguka kutoka kwenye simu hiyo ni za Mheshimiwa akiwa na wasichana
tofauti tofauti alafu warembo wa ukweli, na ni picha za mahaba.
Jumbe hizo sio tu zimesambazwa kwa watu mbalimbali, bali pia
hata Mheshimiwa Komba mwenyewe zilimfikia na kisha akaamua kutumia fursa hiyo
kueleza ukweli wa mambo akidai kuwa …
“ Nimesikitishwa sana na kitendo cha binti aliyeweka picha
yake ikionesha maziwa nje na nyingine nikiwa nimepiga naye. Binti huyu ni mpiga
kura wangu na alikuwa anaumwa na nikaona nikamsalimie kwakuwa nina fahamiana
naye na ni kama mtoto wangu” alieleza Mheshimiwa Komba
anaendelea kusema kuwa “ nilipofika nilimkuta amevaa kanga
nikampa juice na matunda niliyompelekea na fedha taslimu. Alishukuru sana
akaomba kupiga picha name, basi akasogea karibu akapiga picha.
Kumbe alishapiga nyingine ikiwa inaonesha maziwa. Nafahamu kuna
watu wamemtumia ili kunichafua na kuchafua chama. Hongereni lakini ukweli ndio
huo” alimaliza Mheshimiwa Komba.
BOFYA CHINI KUONA PICHA TOFAUTI
Pamoja na maelezo yake mazuri, bado ameacha mjadala mkubwa
wenye maswali mengi kwa wanamitandao, baadhi ya maswali hayo ni pamoja na mbona
amemuelezea msichana mmoja wakati wako zaidi ya wawili tofauti?
No comments:
Post a Comment