Tuesday, June 10, 2014

BREAKING NEWS: DIAMOND AINGIA STUDIO NA MAFIKIZOLO

Diamond akiwa na Theo Kgosinkwe(Katikati) na Nhlanhla Nciza studio wakirekodi nyimbo mpya pamoja. Diamond alipost kwenye Twitter ujio wa nyimbo hiyo mpya ambayo itatambulishwa hivi karibuni. Chini Diamond akiingiza vocals







No comments:

Post a Comment