Basi la Muro leo limeteketea kwa moto, kama linavyoonekana katika video chini. Inadaiwa basi hilo lilipatwa na hitilafu na kusababisha moto na hatimaye kulipuka kuanzia nyuma, hakuna abiria aliyedhurika ila mizigo na mali mbalimbali za abiria zimeteketea
No comments:
Post a Comment