Thursday, March 13, 2014

PICHA YA LEO: KUMBE MAMBA HAKUNA KITU, ANGALIA ANAVYO GARAGAZWA NA DUMA LIVE

HAPA JUU NATAKA UONE TU JINSI MAMBA ANAVYONYANYASIKA

 ANAMYATIA. . .

KWENYE MAJI ANAMFUATILIA . . .


JAMAA HAJAGUNDUA KUWA HALI INAANZA KUWA MBAYA. . .

ANGALIA ZAIDI . . .


 ALIPOTAKA KUKIMBIA AKANASWA. . .

HAWEZI HATA KUJITETEA. . . CHINI ANATOLEWA KWENYE MAJI HUKU HAJIELEWI...


 ANAONDOKA NAYE MZIMA MZIMA. . .





No comments:

Post a Comment