Thursday, March 06, 2014

HUYU JAMAA NDIO PHOTOCOPY YA RAIS OBAMA, ONA WANAVYOFANANA


Ilham Anas mwenye umri wa miaka 40 raia wa Indonesian, ambaye pia ni mpigapicha kwakweli haipingiki, anafanan na Rais wa Marekani, Barack Obama kama anavyoonekana pichani Kulia.

No comments:

Post a Comment