Thursday, March 06, 2014

KIJANA AJITOKEZA NA KUDAI KUWA MTOTO WA MICHAEL JACKSON, ANGALIA VIDEO YAKE

 Brandon Howard(PICHANI KULIA), mwenye umri wa miaka 31, mtoto wa mwanamuziki wa miondoko ya R&B Miki Howard, amedai kuwa mtoto wa mwanamuziki mkongwe na mfalme wa pop Michael Jackson na kwamba ana ushahidi wa vinasaba kuthibitisha. Vyanzo vilivyoko karibu na Brandon, vimesema Miki na Michael Jackson walikutana mwaka 1982 na Brandon akazaliwa kipindi hicho. Kwa mujibu wa chanzo hicho, Brandon ana uhakika kwa sababu alifanikiwa kupata kifaa alichokuwa anavaa Michael (haijajulikana alipataje), lakini inaelezwa kwamba DNA (vinasaba) vinaendana.

 Angalia video ya Brandon bofya hapa chini


No comments:

Post a Comment