Wednesday, March 26, 2014

MATOKEO MKWAKWANI KATI YA AZAM NA MGAMBO JKT 2 - 0






Huko Tanga nako mechi baina ya wazee wa lamba lamba Azam watoto wa Chamanzi wameichapa Mgambo JKT, magoli 2 huku JKT wakitoka bila bao, kwa matokeo hayo Azam wanajikita zaidi kwa pointi 50  na kuendelea kuongoza ligi.


No comments:

Post a Comment