Wednesday, March 19, 2014

MASTAR WETU: SNURA ANASWA KWA MGANGA!!, ONA PICHA HAPA

Msanii maarufu wa bongo fleva Mama wa Majanga Snura aka Snu Sex afanya mambo ya kustajabisha ambayo hayana longo longo wala nini, picha zinaonesha akiwa anapigiwa ndumba kwa sangoma, kweli majanga. story zaidi fuatilia BongoClanz 




No comments:

Post a Comment