Thursday, March 27, 2014

MAFURIKO BAADA YA MVUA KALI JIJINI DAR ES SALAAM


Wakazi wa eneo la Jangwani wakiokota plastiki na chupa vilivyotawanywa na mvua kali zinazoendelea nchini kama walivyokutwa na kamera yetu leo asubuhi.



CHINI: Wakazi wa Jangwani karibu na uwanja wa klabu ya Yanga wakiwa wamekaa juu ya paa la nyumba kukwepa mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea nchini.




1 comment:

  1. Hapo wanasema yataondoka tu baada ya mda, tushazoea ,,,dih

    ReplyDelete