Thursday, March 27, 2014

DUBAI AIRPORT YAVUNJA REKODI YA DUNIA KWA KUIPIKU LONDON, HEATHROW


Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Dubai, umefanikiwa kuvunja rekodi ya dunia kwa kuwa ndio uwanja unaotumika (busiest) sana na kuchukua nafasi ya ndege wa Uingereza ulioko jijini London, Heathrow.

No comments:

Post a Comment