Thursday, March 27, 2014

BREAKING NEWS: OBAMA AKUTANA NA PAPA FRANCIS MARA YA KWANZA

Papa Francis (kushoto) alipokutana na Rais wa Marekani, Barack Obama leo mwezi machi 27, 2014 jijini Vatican. Mkutano huo umekuja kama ukaribisho wa Rais Obama katika mapumziko yake ya siku 6 akiwa katika ziara katika nchi za Ulaya ikitawaliwa na mzozo wa Crimea. Kiongozi huyo wa Marekani bila shaka huruma za Papa Mtakatifu zitampunguzia machungu katika mapambano yake na Rais wa Urusi Vladimiri Putin.


ENDELEA KUSOMA. . .

Rais Obama anaweka historia kwa kutana na Papa Francis, Papa ambaye Rais Obama anamchukulia kama mtu ambaye roho yake inapambana na uchumi wenye usawa kwa masikini na wenye nazo.
Obama amefika Vatican leo asubuhi, na kama ilivyo utamaduni wa Kanisa Katoliki cha kwanza ilikuwa ni kwenda kumsalimia Papa. Papa na Rais walishikana mikono kabla ya kuketi na watafsiri wao katika meza ya mbao kwaajili ya mkutano.



No comments:

Post a Comment