
Si jambo la kawaida kihistoria, Alicia Keys na aliyekuwa
mke wa Swizz Beatz, Mashonda…mwanamke ambaye aliwahi kumlaumu na kumtukana
Alicia Keys hadharani kuwa alisababisha ndoa yake kuvunjika.
Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ uliofanikiwa kupiga picha unayoiona hapo juu, ilipigwa wikiendi hii huko
St.Barts, Marekani ikimuonesha Swizz, Alicia na Mashonda wote wakiwa katika mapumziko ya
pamoja na watoto ( Swizz amekuwa akiwalea watoto hao akishirikiana na wanawake
hao wawili).
ENDELEA. . .
Ni Karibu miaka 5 iliyopita, Mashonda
alimuandikia Alicia barua chafu ya wazi kufuatia talaka yake na Swizz Beat,
akimlaumu Alicia kuhusu mahusiano yaliyosababisha kuvunjika kwa ndoa na familia
yake.
Kutokana na barua hiyo, ungefikiri Mashonda na
Alicia wangekuwa maadui wa maisha – lakini picha zinaonesha mambo tofauti kabisa.
No comments:
Post a Comment