Katibu Mtendaji wa Baraza La Habari Tanzania, akifungua mkutano wa siku moja uliofanyika katika hoteli ya Tanga Beach Resort, jijini Tanga tarehe 5 February, 2014
Juu: Allan Lawa, Ethics and Arbitration Manager (MCT) akitoa mada kuhusiana na ufuatiliaji wa vyombo vya habari kuhusiana na maadili katika mkutano huo.
Chini ni Pili Mtambalike, Regulation and Standards Manager, akiwakilisha mada kuhusiana na mikakati ya kuhimarisha utoaji habari kwenye chumba cha habari.
Bw. Abdallah Mohammed Juma (aliyesimama) akichangia katika moja ya mada zilizo wakilishwa,
Chini ni Prince Bagenda(aliyeshika kitabu) naye akichambua ripoti ya media monitoring iliyowakilishwa siku hiyo
Jaji Mstaafu Thomas Mihayo akichangia na kufafanua jambo katika mkutano huo, kushoto kwake ni Kajubi Mukajanga. Chini wakijadiliana jambo katika mkutano huo.
Hassan Mhelela, akiuliza swali.
Juu Mwenyekiti wa Mkutano wa mkutano ulioandaliwa na MCT, Wallec Maugo (kushoto) akiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili Jaji Msaafu Thomas Mihayo, Chini akifunga rasmi mkutano huo wa siku moja uliofanyika Tanga Beach Resort Hotel iliyoko Tanga.
No comments:
Post a Comment