Tukio la ajabu na la kusikitisha lilitokea katika Uwanja wa Taifa ambapo mashabiki walikojolea masinki badala ya kunawa mikono kama inavyoonekana katika picha. Ieleweke tu kwamba tofauti ya binadamu na mnyama ndio hii. Hii imetokea siku Yanga walipocheza mechi yao ya kukata na shoka baina yao na Mbeya City, Yanga ilishinda 1 - 09 (Picha kwa heshima ya Barbara Hassan)
No comments:
Post a Comment