Rais Jakaya Kikwete akitoa hotuba leo kwenye maadhimisho ya siku ya sheria kwenye viwanja Mahakama Tanzania vilivyoko Ocean Roads .
Rais Jakaya Kikwete akipokelewa (kushoto) na Jaji Mkuu wa Tanzania Mohamed Chande Othman (kulia) leo mara baada ya kuwasili kwenye maadhimisho ya siku ya sheria mara baada na baadhi ya majaji kwenye viwanja Mahakama Tanzania vilivyoko Ocean Roads .
Bendi ya polisi ikiongoza maandamano ya siku ya sheria katika viwanja Mahakama Tanzania vilivyoko Ocean Roads yaliyofanyika leo jijini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment