Thursday, January 16, 2014

HUU UKATILI UMEPITILIZA, TEMBO 13 WAUAWA, ANGALIA PICHA

Mizoga ya Tembo 13 waliouawa na kung'olewa meno na majangili katika pori la Akiba la Piti kata ya Ngwara wilayani Chunya mkoani Mbeya,mizoga hiyo ilikutwa na Maofisa mali asili wilayani humo ambao walikuwa katika doria wakati wa msimu wa uwindaji Agosti mwaka jana. (picha kwa hisani ya Mkwinda)

No comments:

Post a Comment