Thursday, January 16, 2014

PINDA ASHUHUDIA UHALIFU WA KUTISHA WILAYA YA KITETO

Eneo la Mtanzania wilayani Kiteto ambalo ni moja kati ya maeneo ya makazi yaliyovamiwa na watu wanaodaiwa kuwa wafugaji ambapo watu watatu waliuawa na nyumba kuchomwa moto. Mlheshimiwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alitembelea eneo hilo Januari 16, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wanakijiji wa Mtanzania Januari 16, 2013 wakati alipokwenda kuwapa pole kufuatia uvamizi waliofanyiwa na watu wanaosadikiwa kuwa wafugaji ambao waliua watu watatu na kuchoma nyumba . Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Erasto Mbwilo.

PICHA KWA HISANI YA OFISI YA WAZIRI MKUU


No comments:

Post a Comment