Saturday, January 18, 2014

HUU NDIO MKAO WA BUNGE LA KATIBA, ANGALIA HAPA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua kazi ya uwekaji viti vipya katika ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Januari 18,2014 ikiwa ni maandalizi ya Bunge la Katiba linalotarajiwa kuanza mwezi ujao. (Picha na Ofisi yaWaziri Mkuu) 






No comments:

Post a Comment