Mafundi wa Shirika la Umeme Tanzania ( Tanesco ) kwa kushirikiana na wafanyakazi wa Kampuni ya uchimbaji dhahabu ya Barrick ya Bulyanhulu kwa pamoja wakifanya kazi ya kujenga nguzo za umeme za chuma zilizohujumiwa na kuanguka katika eneo la karibu na mgodi huo uliopo kata ya Kakola kijiji cha Kakaola namba tisa wilayani Kahama , mkoani Shinyanga
No comments:
Post a Comment