Saturday, January 18, 2014

UMESHAMSIKIA KOMLA DUMOR WA BBC? AMEFARIKI GHAFLA LEO

Mwandishi mahiri na mtangazaji kutoka Ghana, ambaye amekuwa akitangaza kwenye shirika la utangazaji la BBC pamoja na kipindi cha Focus in Africa amefariki nyumbani kwake London ghafla leo akiwa na umri wa miaka 41.

Poleni sana BBC, wasikilizaji wote na wapenzi wa Komla Dumor, RIP


No comments:

Post a Comment