IMMA MATUKIO INAWATAKI HERI YA MWAKA MPYA WASOMAJI WAKE,
WAPENZI, WACHANGIAJI WOTE, WAFUATILIAJI MAMBO MBALI MBALI, WANAOTUPENDA NA
WANAOTUCHUKIA, WANAOTUTAKIA MAFANIKIO NA WASIO TUTAKIA, WAKUBWA KWA WADOGO,
WANAWAKE KWA WANAUME,
BILA NINYI HII BLOG NI KAZI YA BURE KABISA, ISINGEFIKIA
MAFANIKIO ILIYOPATA. KWA VYOVYOTE VILE MLIGUNDUA NA KUAMUA KUINGIA HUMU ILI
KUONA AU KUCHANGIA JAMBO.
TUNAWAPENDA WOTE NA KUWAOMBEA KWA MUUMBA WA MBINGU NA NCHI
AWAPE WOTE MAISHA MEMA NA MAFANIKIO. KILA MNACHOTAMANI KIFANIKIWE, HASWA YALE
MEMA.
NAOMBA TUKUTANE TENA MWAKA MWINGINE ILI KUFANIKISHA MAENDLEO
YETU SOTE.
TUNAWAPENDA SANA WOTE.
No comments:
Post a Comment