Mkazi wa jijini Dar es Salaam akiwa amepakia nyani kwenye
pikipiki yenye usajili namba T570BZH akijaribu kuvuka barabara katika mataa ya
Mwenge, katika makutano ya barabara ya Samnujoma na Bagamoyo, Dar es Salaam
hivi karibuni kama alivyokutwa na mpiga picha wetu.
No comments:
Post a Comment