Jana jioni kuna habari za uzushi 'uongo' zilizokuwa zinasambazwa zikisema kuwa mtayarishaji wa muziki wa bongo fleva Pfunk Majani amepigana na mtangazaji wa Clouds Media Group Adam Mchomvu maeneo ya Leaders Club wakati si kweli .
Wakati uvumi huo unatokea Adam hakuwepo eneo hilo ambapo P-Funk alikuwa yupo kwenye mchakato wa maswala ya kamati. Adamu alitokea majira ya jioni na kushangwaza na uvumi huo ambao ulivuma katika mitandao ya kijamii
No comments:
Post a Comment