Thursday, June 13, 2013

TUZO YAPELEKWA ALIPOLALA MANGWEA

Kala Jeremiah akiweka tuzo aliyopata kwenye tuzo za muziki za Kili Music Awards, kulia ni Afande Sele katika kaburi la Albert Mangwea


CHINI: Baadi ya ndugu wa familia ya Ngwea wakishuhudia Kala alipofikisha tuzo hiyo kwenye nyumba ya milele ya Albert Mangwea
 


Mama yake Marehemu Albert Mangwea akiwa na Kala Jeremiah pamoja na Afande Sele katika kaburi la Albert Mangwea huku mama huyo akiwa ameshikilia tuzo hiyo




No comments:

Post a Comment