BALOZI WA TANZANIA NCHINI AFRIKA KUSINI ATEMBELEA NYUMBANI KWA WAFIWA
Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini Radhia Msuya atembelea nyumbani kwa wafiwa Mbezi Beach jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kutoa pole kwa familia ya msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Albert Mangwea 'Ngwair'
No comments:
Post a Comment