Mkurugezi wa mauzo na masoko wa Airtel Mustafa Kapasi (kushoto) akimkabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo Afisa mauzo kanda ya Dar Es Salaam Airtel, John Gondwe baada ya kuhitimu mafunzo ya mauzo na usambazaji ya muda wa miaka miwili yanayoendeshwa na Airtel Centum Sales University (ACSU). Wafanyakazi 56 kutoka katika mikoa mbalimbali walihitimu mafunzo hayo, akishuhudia katikati ni Mkurugenzi Rasilimali watu Patrick Foya akifatiwa na Melvin Joel Meneja wa Centum Learning Makao Makuu
Wahitimu mafunzo ya mauzo na usambazaji yanayoendeshwa
na Airtel Centum Sales University (ACSU) wakikata keki kwa pamoja wakati wa
tafrija iliyofanyika katika ofisi za Airtel makao makuu morocco. Wahitimu hao
ni wafanyakazi wa Airtel Tanzania
Mkurugenzi wa Airtel Bw Sunil Colaso akiongea na
wahitimu mafunzo ya mauzo na usambazaji yanayoendeshwa na Airtel Centum Sales
University (ACSU) wakati wa tafrija iliyofanyika katika ofisi za Airtel makao
makuu morocco. Wahitimu hao ni wafanyakazi wa Airtel Tanzania Meneja Mauzo wa Airtel Bw Stratory Mushi (katikati) akiwa katika picha ya pomaja na wahitimu mafunzo ya mauzo na usambazaji yanayoendeshwa na Airtel Centum Sales University (ACSU) wakati wa tafrija iliyofanyika katika ofisi za Airtel makao makuu morocco. Wahitimu hao ni wafanyakazi wa Airtel Tanzania
No comments:
Post a Comment