Sunday, May 12, 2013

MSONDO NGOMA WATUMBUIZA BONANZA LA TASWA

 Wapiga tarumbeta wa bendi ya Msondo Ngoma wakitumbuiza mashabiki wao (hawapo pichani) jana katika bonanza la waandishi wa habari za michezo pamoja na wasanii wa bongo movi
Mpiga Drums wa bendi ya Msondo Ngoma akitumbuiza katika bonanza la TASWA lililowashirikisha wasanii wa Bongo movi jana katika viwanja vya TTC Chango'mbe jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment