GA aliyeshika mpira wa timu ya netboll ya Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) Queens akijiandaa kufunga goli katika mechi iliyochezwa na Bongo Movi jana katika viwanja vya TTC Chang'ombe ambapo timu hiyo iliibuka kidedea kwa kuwafunga Bongo movi magoli 33-10
Wachezaji wa timu ya netboll ya Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) Queens wakisikiliza mawaidha kutoka kwa kocha wao (hayupo pichani) baada ya kumaliza kipindi cha kwanza cha mechi hiyo
Kiongozi wa timu ya Bongo movi Jaqrine Wolpa (aliyeshika mpira) akimtoka mchezaji wa timu ya TASWA
Mchezaji wa timu ya TASWA (GD) akitafuta nafasi ya kuuwahi mpira aliorushiwa na mchezaji mwenzake Sharifa GA
No comments:
Post a Comment