Saturday, May 11, 2013

UNA MAFUA? JARIBU HII UTASHANGAA...

Mi sina mafua (sinuses) lakini nafikiri inaweza kuwa kweli, jaribu kama we mwenzangu unamafua utaona matokeo. Sukuma ulimi wako juu ya mdomo (kwenye dari la mdomo pale) na bonyeza kwa kidole katikati ya nyusi hapo kwa muda wa sekunde ishirini na mafua yako yataanza kukauka.

Tuma coment yako hapa chini kushare experience yako kwenye hili...

No comments:

Post a Comment