PICHA INAYOSIKITISHA ZAIDI NCHINI BANGLADESH
Picha iliyopigwa tarehe 25, April 2013, ya wahanga wa jengo la kiwanda cha nguo lililoporomoka jijini Savar karibu na Dhaka, Bangladesh. Matokeo ya kubomoka kwa jengo hilo ni vifo vya
zaidi ya watu 1000 na serikali ya nchi hiyo imeandaa utaratibu maalumu wa kukagua
majengo yote nchini humu ili kuwa na uhakika wa majengo hayo.
No comments:
Post a Comment