Friday, May 10, 2013
BEN POL, KALA JEREMIAH WATEMBELEA OFISI ZA MAJIRA
Wasanii wa muziki wa kizazi kipya Ben Pol (Kushoto) Kala Jeremiah (wa pili kutoka kushoto) wakifafanuliwa jambo na Jamaal Mlewa mwandishi wa Business Times (aliyeshika gazeti) jinsi gazeti linavyotengenezwa walipotembelea ofisi za Business Times zilizopo mtaa wa Lugoda, katikati ni Shaban Mbegu akifuatana na wasanii hao.
Wasanii wakipata maelekezo kutoka kwa msanifu kurasa wa gazeti la majira walipotembelea ofisini hapo
Kala Jeremiah, Ben Pol wakipata maelekezo ya jinsi ya kupanga gazeti la Majira
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment